+255 626 597 534 wakizingafurniture@gmail.com Ramani ya Duka (Google Maps)
House Furnitures

Tunatengeneza Samani Bora, Urembo wa Kudumu Nyumbani Mwako.

Jipatie samani za mbao bora na ngumu, zitakazo dumu, rafiki kwa mazingira, na zinazo tengenezwa kwendana na muhitaji.

Ubunifu wa Kifahari

Mbao Asili Zenye Viwango vya Kimataifa

Kila seti ya sofa, kitanda, au meza inatengenezwa kwa umakini wa hali ya juu.

Agiza Sasa

Tunafanya Delivery Ulipo

Kwendana na bidhaa hitajika

Bidhaa bora asilimia 100%

Mbao original zenye viwango

Huduma kulingana na uhitaji

Tunatengeneza kwendana na mapendekezo ya mteja

Uthabiti sokoni

Bidhaa zetu zimedumu kuwa kinara sokoni

Karakana ya Samani Kabati la Mbao
Wakizinga Icon Urithi wa Ufundi wa Mbao

Ubunifu na Ufundi wa Makini

Katika Wakizinga Furniture & Decor, tunaamini samani hazipaswi tu kujaza chumba. Zinapaswa kukipamba. Tumedumu kwa miaka mingi sokoni, kazi yetu inachanganya mbinu maridadi za kuunganisha mbao na mitinto ya kisasa.

10+

Miaka ya Uzoefu

4.8k

Nyumba Tulizopamba

100%

Mbao Original

Chagua Kwendana na Chumba

Furniture zimepangwa kwendana na vyumba na matumizi.

Sebule

Sebule (Living Room)

Sofa Kubwa na Seti za Sebule
Chumba cha Kulia

Chumba cha Kulia (Dining)

Meza za Chakula na Viti Vya Kisasa
Chumba cha Kulala

Chumba cha Kulala (Bedroom)

Vitanda vya Mbao Imara na Pedi za Kifahari
Makabati na Vifaa

Makabati na Hifadhi

Wodi za Nguo na Makabati ya Vioo

Category ya Samani Zetu

Bonyeza kitufe hapa chini ili kuangalia bidhaa zetu zote na kuziongeza kwenye cart kwa ajili ya kuagiza.

Video Za Kazi Zetu

Bonyeza thumbnail ya video yoyote hapa chini kutazama kazi zetu zikiwa live.

Sofa Set Video
Play Icon
Video 1
Bonyeza Kutazama
Kitanda Cha Mbao Video
Play Icon
Video 2
Bonyeza Kutazama
Meza ya Chakula Video
Play Icon
Video 3
Bonyeza Kutazama
Kabati Video
Play Icon
Video 4
Bonyeza Kutazama
Ufundi Wa Nakshi Video
Play Icon
Video 5
Bonyeza Kutazama
×

Onyesho la Miradi Yetu

Tazama kazi zetu halisi za ufundi zilizokamilika tayari kwa ajili ya wateja wetu.

Seti ya Sofa

Seti ya Sofa la Kifahari

Ufungaji wa sofa kubwa la sebule lenye staili ya kisasa

Wodi ya Mbao

Wodi ya Mbao ya Milango Mikubwa

Kabati la nguo lenye kioo cha katikati na nakshi za mbao

Kabati la Nakshi

Kabati la Mbao la Nakshi za Maua

Ubunifu wa mbao maalumu kwa ajili ya mapambo na hifadhi

Wateja Wanasema Nini

Soma uzoefu kutoka kwa wamiliki wa nyumba na wabunifu waliochagua Wakizinga.

"Kitanda cha mbao nilichonunua hapa kina ubora wa hali ya juu mno na mbao ni ngumu sana."

Amina Salum

Amina Salum

Dar es Salaam

"Sofa la L-shape limekaa vizuri sana sebuleni kwangu. Ngozi yake ni laini na ufundi wa mbao ni wa kimataifa."

David K.

David K.

Mbezi Beach

"Huduma bora, walileta meza ya chakula na viti vyake kwa wakati muafaka bila kuchelewa."

Elena R.

Elena R.

Mikocheni
Wakizinga Logo Wasiliana Nasi

Tembelea Chumba Chetu cha Onyesho Au Tuma Ujumbe

Wataalamu wetu wa ndani wapo tayari kujadili mahitaji yako ya samani.

Panga Miadi ya Ushauri wa Ubunifu

Portal ya Wafanyakazi (Sales Entry Form)

Wafanyakazi wanajaza jina, bidhaa iliyouzwa, na bei hapa chini. Taarifa hizi zitaenda moja kwa moja kwenye ukurasa huru wa usimamizi wa mmiliki (`admin.html`).

Mitandao Yetu Rasmi Ya Kijamii
Instagram Facebook Page TikTok Channel Google Maps Location